Friday, May 31, 2013
Friday, May 10, 2013
TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA
TANGAZO
KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA
MASOMO 2013/2014
Wizara ya Kilimo
Chakula na Ushirika inatangaza nafasi za mafunzo ya Kilimo ngazi ya Cheti na
Diploma kwa mwaka wa masomo 2013/14 kama ifuatavyo:
Wednesday, May 1, 2013
HOTUBA YA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Rais wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA),
Ndugu Ayoub Omari Juma;
Mheshimiwa Jaji Mkuu;
Mheshimiwa Gaudensia Kabaka (Mb) Waziri wa Kazi na Ajira;
Mhe. Col Issa Machibya, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro;
Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge Mliopo Hapa;
Ndugu Alexio Musindo, Mwakilishi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO)
Ndugu Ayoub Omari Juma;
Mheshimiwa Jaji Mkuu;
Mheshimiwa Gaudensia Kabaka (Mb) Waziri wa Kazi na Ajira;
Mhe. Col Issa Machibya, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro;
Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge Mliopo Hapa;
Ndugu Alexio Musindo, Mwakilishi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO)
Wednesday, April 17, 2013
NGUZO ZA SWALA, VITENDO VYA WAAJIB NA SUNNAH KATIKA SWALA
بسم الله الرحمن الرحيم
Nguzo za Swalah ni 14: Nguzo ni zile ambazo ukiswali na ukaziacha kwa
makusudi Swalah yako inabatilika, na ikiwa umeacha kwa kusahau, Swalah yako pia
itakuwa haikukamilika hadi urejee kitendo chenyewe au urejee rakaa na kisha
mwishoni utoe Sajdatus-Sahw. Lakini ukiwa umesahau nguzo ya Takbiyratul-Ihraam,
basi itakubidi uiswali Swalah upya tokea mwanzo.
Saturday, April 13, 2013
WALIOCHOMA MSIKITI TUNDUMA BADO HAWAJAFIKISHWA MAHAKAMANI
Waliochoma
msikiti Tunduma bado hawajafikishwa mahakamani. Habari kutoka katika mji huo
mdogo katika Mkoa wa Mbeya zinafahamisha kuwa Jeshi la Polisi, linaendelea kuwashikilia
watuhumiwa 45 wa vurugu
za kuchinja na kuchoma moto Msikiti. Awali Jeshi la Polisi l i l i w
a t i a m b a r o n i watuhumiwa
wa vurugu na maandamano hayo wapatao 90 na baada ya mahojiano,
wamechujwa na kubakia 45.
Wednesday, April 10, 2013
KUMUANDAA MNYAMA KABLA YA KUCHINJWA - STUNNING
Hii ni njia inayotumika kumuandaa mnyama kabla ya kuchinjwa, nia kuu ya
stuning ni kumpunguzia mnyama maumivu wakati wa kuchinjwa, pia huondoa
uwezekano wa mnyama kumuumiza mchinjaji na mwisho ni kuongeza ubora wa
nyama.
Saturday, April 6, 2013
Watuhumiwa Kesi ya Sheikh Ponda‘wawakaanga’ Polisi mahakamani
Gazeti la ANNUUR Na. 1061
RABBIUL THAN
1434,
IJUMAA MACHI 8 - 14, 2013
Na Bakari Mwakangwale
Watuhumiwa Kesi ya
Sheikh Ponda‘wawakaanga’ Polisi mahakamani
Wadai walivamiwa msikitini wakiwa katika ibada.
Waikana BAKWATA na kudai hawazijui kazi
zake.
Wasema kiongozi wao ni Qur’an na Sunna za Mtume
MASHAHIDI wa upandewa
utetezi katika kesi inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, wamedai askari Polisi waliwavamia na kuwapiga wakiwa katika ibada ya Itiqafu, ndani ya Msikiti wa MarkazChang’ombe, jijini Dar esSalaam, usiku wa Oktoba16, 2012.
Subscribe to:
Posts (Atom)

