Saturday, January 26, 2013

UTAMBULISHO WA BLOG

Natumia fusra hii kuitambulisha blog hii, yenye lengo la kutoa habari zinazojiri Mtwara, Tanzania na nje ya Tanzania kwa kina. Blog hii ina lengo la kupasha habari, kutoa matangazo ya aina mbalimbali kwa kadri itakavyoonekana inafaa 
na kwa kutovunja sheria za nchi.

Nawakaribisha sana kuperuzi katika blog hii ili kujionea ni kipi kimejiri katika ulimwengu huu wa sayansi. Matarajio yetu ni kupasha habari zinazohusu dini, siasa, uchumi na jamii 
kwa ujumla.

KARIBUNI SANA KATIKA UKURASA HUU WA

HABARI MOTO MOTO!