1.Kutia nia kwa kutamka: Baadhi wanaamini kuwa nia usipoitamka basi haijawa
nia. Na pia huwafunza watoto kutamka maneno ya kutia nia, au kuwaamrisha
wasikose kwenda kunuizwa msikitini na mashekhe. Itambulike kuwa nia mahali pake
ni moyoni na kutamka ni uzushi.
2.Kufunga bila kuswali: Baadhi ya watu wanafunga bila ya kuswali au
kutimiza Swalah ipasavyo. Watu kama hawa Swawm zao hazifai kwani Swalah ni
nguzo ya Dini ya Kiislamu.
TANGAZO LA
KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA NA ASTASHAHADA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA
MAFUNZO YA MIFUGO (LIVESTOCK TRAINING
AGENCY) KATIKA MWAKA WA MASOMO 2015/16