Hii ni njia inayotumika kumuandaa mnyama kabla ya kuchinjwa, nia kuu ya
stuning ni kumpunguzia mnyama maumivu wakati wa kuchinjwa, pia huondoa
uwezekano wa mnyama kumuumiza mchinjaji na mwisho ni kuongeza ubora wa
nyama.
Zipo njia nyingi au vifaa vingi vya kumuandaa mnyama kabla ya kuchinjwa lakini leo nitaongelea kifaa kijulikana cho kitaalam kama CAPTIVE BOLT PISTOL/GUN. Hiki ni kifaa kama bunduki ndogo ambapo ndani huwekwa baruti maalum au hutumia nguvu ya upepo ambayo ukifyatua kuna chuma imara chenye ncha kali mbele (bolt)kina toka mara moja na kurudi ndani.

Boriti hii inakazi moja tu ya kutoboa sehemu ya mbele ya ubongo wa
mnyama na kumfanya abung'ae na kupoteza fahamu, hii hurahisisha zoezi la
uchinjaji na kufanya mnyama achinjwe bila kusikia maumivu yoyote. Kila
mnyama anasehemu maalum ya kufanya stunning kama inavyoonyeshwa hapo
kwenye michoro ya makala hii
http://www.youtube.com/watch?v=nr00arV2XIw kwenye link hii ya you tube unaweza kuona jinsi zoezi hili linavyofanyika kwa kutumia mashine maalum ya upepo

Chanzo: mitiki.blogspot.com
No comments:
Post a Comment