Friday, May 19, 2017

TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018


APPLICATION FOR ADMISSION INTO DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2017/2018
The Permanent Secretary Ministry of Agriculture Livestock and Fisheries (Agriculture) is officially announcing applications for admission into Diploma and Certificate programmes offered at the Ministry of Agriculture Training Institutes (MATIs) registered by NACTE for the academic year 2017/2018. Applicants who meet the minimum entry qualifications are invited to apply for admission by 30th June 2017 for Certificate program and 15th July 2017 for Diploma program. The following are the programmes offered at MATIs:

Thursday, May 18, 2017

Application for Admission into Non-Degree Programs 2017/2018


Sokoine University of Agriculture (SUA) invites applications from qualified Tanzanians and non-Tanzanians to certificate and diploma programs offered by Sokoine University of Agriculture for academic year 2017/2018. Applicants should apply directly to SUA by filling in online application forms or physically submit the forms to the admission office, READ MORE....!

Thursday, May 11, 2017

TANGAZO LA KUJIUNGA NA VYUO VYA KATI MWAKA WA MASOMO 2017/2018


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa sheria ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi, Sura 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Sheria hii inazitaka Taasisi zote zinazotoa elimu ya ufundi kusajiliwa kabla ya kuanza kuendesha mafunzo yoyote. Baraza pia huidhinisha mitaala kabla haijaanza kutumika. Hivyo taasisi zote haziruhusiwi kuanza kutoa mafunzo yoyote bila kibali maalumu kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE).

Wednesday, May 10, 2017

TANGAZO LA KAZI

Kituo cha utafiti wa kilimo Mtwara (ARI - Naliendele) kupitia Cashew Research Programme kinatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo; Agricultural Research Officer (1 Post), Agricultural Field Assistant (11 posts), Personal secretary (1 post), Mechanics (2 posts) na Motor driver (1 post).

Kwa maelezo zaidi, sifa, deadline na jinsi ya kuapply BOFYA HAPA....!.