Sifa Nne Za Kuchagua Mke: Mali, Nasaba, Uzuri Na Dini
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ
(رضي الله عنه) عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
((تُنْكَحُ الْمَرْأَةُ لأَرْبَعٍ: لِمَالِهَا, وَلِحَسَبِهَا, وَجَمَالِهَا,
وَلِدِينِهَا. فَاظْفَرْ بِذَاتِ الدِّينِ تَرِبَتْ يَدَاكَ)) متفق عليه
Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم)
amesema: ((Mwanamke huolewa kwa sababu nne; Kwa mali yake, nasaba yake
[ukoo], uzuri wake na Dini yake. Tafuta mwenye Dini uwe salama)).[1] (yaani usiharibikiwe katika
maisha yako)
Mafunzo
Na Hidaaya:
- Uislamu umetoa uongofu katika kila jambo hata katika kutafuta mke mwema.