Friday, July 31, 2015

TANGAZO KWA WANAORUDIA MITIHANI YA SEMESTER YA IV CGA/DGA 2013/2015

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA
IDARA YA MAFUNZO
CHUO CHA MAFUNZO MTWARA.  
TANGAZO                                                               31/07/2015
Wanachuo wote wanaourudia masomo (resiters) na Yule anayekaa kwa mara ya kwanza wanatangaziwa kuwa mitihani hiyo itafanyika tarehe ..........


Itafanyika tarehe 24/08/2015- 28/08/2015.
 Kila mtu anapaswa kuzingatia ratiba kwa somo linalomhusu sawa na matokeo yalivyopitishwa na kikao cha bodi cha tarehe 29/07/2015

Gharama:
1)  Malipo ni shilingi elfu hamsini tu (50,000/=) kwa kila mtu (hii ni Wale wanaorudia mitihani tu); fedha hizo zilipwe kupitia tawi la benki ya NBC popote nchini kwa jina la “MATI-MTWARA SELF HELP FUND A/C NO. 034103002012”

FIKA KATIKA CHUMBA CHA MTIHANI NA RISITI ULIYOLIPIA PESA HIZO VINGINEVYO HUTARUHUSIWA KUFANYA MTIHANI.

2)    Gharama za nauli kuja na kurudi nyumbani pamoja na chakula na malazi ni juu ya mwanafunzi mwenyewe.

3)    Chuo kitawaazimisha magodoro kwa kipindi chote kwa watakaohitaji


Nawatakia maandalizi mema.


Daudi Kasabuku
Kny. MKUU WA CHUO
MATI-Mtwara

No comments: