Friday, May 10, 2013

TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKATANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014
Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika inatangaza nafasi za mafunzo ya Kilimo ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2013/14 kama ifuatavyo:

Wednesday, May 1, 2013

HOTUBA YA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANIRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA),
Ndugu Ayoub Omari Juma;
Mheshimiwa Jaji Mkuu;
Mheshimiwa Gaudensia Kabaka (Mb) Waziri wa Kazi na Ajira;
Mhe. Col Issa Machibya, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro;
Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge Mliopo Hapa;
Ndugu Alexio Musindo, Mwakilishi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO)